Nyumbani Fahamu kuhusu Uislamu Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 108 (Kiswahili)

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 108 (Kiswahili)

Play
Upana Yaliyomo kwa Lugha ya kiarabu

Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 108 (Kiswahili)

Lugha: Kiswahili
Maandalizi: Yasini Twaha Hassani
Maelezo:
Mada hii inaelezea: Miongoni mwa faida ya Swala ya jamaa ni mafunzo kwa yule asiyejua baadhi ya vitendo vya Swala, na usawa unaopatikana ndani yake baina ya tajiri na masikini n.k.