Malezi ya Kiislam ndani ya Qur’an (22)
(Kiswahili)
Lugha:Kiswahili
Maandalizi:Abubakari Shabani Rukonkwa
Maelezo:
Mada hii inazungumzia: sababu za tawba, katika hizo sababu: ni kwasababu Allah ni mwingi wa kukubali tawba, na kwakuwa Mtume anaitwa mtume wa tawba, kisha akabainisha maana ya mnafiki.
Share
Use the QR code to easily share the message of Islam with others