Nyumbani Fahamu kuhusu Uislamu Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 12 (Kiswahili)

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 12 (Kiswahili)

Play
Upana Yaliyomo kwa Lugha ya kiarabu

Wasia Wa Mtume (s.a.w) Kwa Muadh 12 (Kiswahili)

Lugha: Kiswahili
Maandalizi: Alrawda
Maelezo:
Mada hii inazungumzia wasia wa mtume s.a.w kwa Muadhi (r.a) amezungumzia njia za kufanya istighfar na ametaja dua ambazo ni bwana wa msamaha, na maana zake, na umuhimu wa kuhifadhi dua hii, na faida za istighfar.