Nyumbani Fahamu kuhusu Uislamu Riyaadh Swalihiin (Kiswahili)

Riyaadh Swalihiin (Kiswahili)

Read Book
Upana Yaliyomo kwa Lugha ya kiarabu

Riyaadh Swalihiin (Kiswahili)

Lugha: Kiswahili
Maandalizi: Alrawda
Maelezo:
Kitabu Riyaadhu Swalihin kimetafsiriwa kwa lugha ya kiswahili, kimeandikwa na Imam Yahya Bin sharaf An Nawawy kutoka Damaskas, amekusanya katika kitabu hiki hadithi sahiihi za mtume Muhamad rehma na amani ziwe juu yake, na hadithi zimeeleza mambo yote ya itikadi, na maisha ,amezileta hadithi kwa mpangilio wa milango na vifungu, ili mada zake ziwe nyepesi kwa msomaji, na apate faida.